Sauti Kubwa

Uhusiano kati ya Cheo Kimefutwa, Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ya 2004 na Mapambano ya Wafanyakazi:

Je, kufutwa kwa cheo kazini kunamaanisha mwisho wa haki za mfanyakazi? Ni swali muhimu linalogusa usalama wa ajira, haki za wafanyakazi na wajibu wa waajiri.

Katika makala hii, Laeticia Mukurasi anaangazia uhusiano kati ya dhana ya Cheo Kimefutwa, Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ya mwaka 2004, na mapambano ya wafanyakazi katika kutetea haki zao. Makala hii inatoa fursa ya kutafakari nafasi ya sheria katika kulinda haki na maslahi ya wafanyakazi.

Mwandishi: Laeticia Mukurasi

Tanbihi: Makala hii ilichapishwa kwa mara ya kwanza na SAUTI KUBWA MEDIA. Tembelea sautikubwa.org kwa maelezo zaidi.